E10 NCHA KALI | NAMNA YA KUAMILIANA NA WATU | SHEIKH HARUNA RASI KHAMIS | PODCAST
Update: 2023-01-17
Description
ni kipindi kinachoelezea namna ambavyo muislam anatakiwa kuamiliana na wanaadamu wenzake
00:00 -01:17 Clip ya utangulizi
01:18 -04;55 Ufunguzi
04:55 -06:07 Jamii inaudhaifu kiasi ganikwenye suala la kuamiliana
06:08 -13:20 Makosa yanayofanyika katika kuamiliana na watu
13:22 -19:45 Kinachopelekea baadhi ya maduati kuwa na miamala mibovu
27:07 -37:50 Sifa za miamala mizuri
37:51 -41:27 Mifano ya makosa ya kuamiliana
41:30 -46:10 Nasaha kwa viongozi na miamala
46:15 -52:00 Namna ya kuamiliana na wasio waislam
52:01 -56:28 Namna ya kuamiliana na mshindani wa biashara
Comments
In Channel